i) To be completed in triplicate/Jaza nakala tatu
ii) This return and payment must be submitted to the TRA Office not later than the last working day of the month following the month of business/Ritani hii pamoja na malipo ni lazima viwasilishwe Ofisi ya TRA si zaidi ya siku ya mwisho ya kazi ya mwezi unaofuatia mwezi wa biashara.
iii) Do not leave any box blank. If you have no entry for the box, insert “NIL”./Kila sanduku ni lazima lijazwe. Iwapo huna cha kujaza andika “NIL”.
iv) Write in full the name of person signing the form, finally sign and date the declaration/andika jina kamili la anayesaini fomu hii. Kisha weak saini na tarehe.
v) Declaration of details relating to Purchase Tax Invoices and Sales Documents (form ITX241.01.B) should be submitted with this return./Taarifa ya maelezo yahusuyo Ankara za Kodi za Manunuzi na Hati za Mauzo (fomu ITX241.01.B) ni lazima iambatanishwe na ritani hii.
đang được dịch, vui lòng đợi..
